Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa siasa zetu hizi, kila mtu anapigania tumbo lake, familia yake na marafiki zake bro. Nyingine hizi mbwembwe tu [emoji2221][emoji2221][emoji2221]

Nadhani ni kila mahali bro.Ni vile nchi zilizoendelea licha ya kwamba nao huwa wanapiga hela ila sheria zao na mahakama zao zinafanya mianya ya kupiga na uthubutu wa kupiga kuwa mdogo.

Lissu ameelezea ukweli ambao mara nyingi umekua ukipotoshwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…