Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Salam bro.Salam kwenu wote
Salama bro?Asante sana..... mafua yanazingua sana
#Msimutunauanzavizuri
Kumbe ulichukua side ya Liver jana eeeeh πππDaima team handsome huwa naipa kipaumbele. Hope Alexander anord atacheza leo [emoji23][emoji23]
#wasionehapakingnabradha
Amen,Kila mmoja akawe na Jumatatu yenye baraka[emoji120][emoji120][emoji120]
Hadi unatamani pawe na namna ya kutuma likes/thanks kwa mpigo mmoja.Uzi huu ukitoka kidogo tu ukirudi unakuta hata hujui uanzie wapi. Jizazi [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Thanks for sharing Numby.
Asalam alaykum mpendwa
Swari mkuu.. kwako je?Good morning!
Ahueni bro, vipi huko?Salama bro?
Ahueni au umepona kabisa?
πππππHAYA JUMATATU NDO HII TUKAFANYE KAZI.....WATANZANIA TUFANYE KAZI JAMANI
Fatilia hiyo assist broThanks for sharing Numby.