[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kadhulumiwa 100K yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kupotea kwangu siku Mbili naona kuna mtu anataka kunirithi nipo hai I'm backSema mkuu!
Nakutafuta umechanganya funguo,Usikasirike bwana...ukiondoka kina hoch minh watafanya sherehe.........[emoji12] [emoji12]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hicho hicho nilichosema...[emoji23][emoji23][emoji23]
IyeeeeeeDONDOO.
Kwa muda wa siku 20 kuanzia 16th June- 05th July,2017.
Uzi una replies 100k
Pages 10k.
Kwa siku 30 zijazo tutakuwa tumeifunika Makapuku Forum.
Juhudi yako ndio mafanikio ya huu uzi!!
Mods wamechukua rushwaKadhulumiwa 100K yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mchekeshaji ataivamia hii post..Stay handsome