Duh!Trust me, it's more than likes
Congratulation.100K
Mjini patamuuuuuuuuuuuuu hahahahahahahahahaaa
My love to Babe S and GeJo
Watu wanchukulia vitu vya humu serious watapata viunguliaAaaaah comw on. As a man you can't do that bana. Ubaya watu mnachukulia mambo ya humu siriazi mno. Mbona ni fresh tu tunataniana na kucheka?
Na Bigbaba atarudi mara moja [emoji23][emoji23][emoji23]Usikasirike bwana...ukiondoka kina hoch minh watafanya sherehe.........[emoji12] [emoji12]
Yup....character!Duh!
Anao wanne sasa hivi...and counting!Mkuu sikupati carbamazepine umemwacha
Azae tu hakuna namnaWe jamaa una uchungu balaa. Relax mkuu.
HahaaAnao wanne sasa hivi...and counting!
Uchungu ukizidi hatazaaWe jamaa una uchungu balaa. Relax mkuu.
Sema mkuu!Shimba mzee wa data
Inaweza ikabadilika baadae ukapewa Tsh.Potezea tu mkuu. Mbona siyo ishu kihivyo? Mi nilichukulia utani tu and I never thought that it was serious. Kwani hiyo 100K ina umuhimu gani? Hata hizi likes zina umuhimu gani? What is priceless ni huu utani na vicheko. Tuvumiliane bana!
Pole. Waombee, wasamehe and move on...Nishafika ila kuna watu wameniharibia siku tayar
Well said broPotezea tu mkuu. Mbona siyo ishu kihivyo? Mi nilichukulia utani tu and I never thought that it was serious. Kwani hiyo 100K ina umuhimu gani? Hata hizi likes zina umuhimu gani? What is priceless ni huu utani na vicheko. Tuvumiliane bana!