Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Utamu wa uzi usha potea kwangu. Mtu anawazaje hivyo. Ameshinda marangapi na hatujasema kitu.
Potezea tu mkuu. Mbona siyo ishu kihivyo? Mi nilichukulia utani tu and I never thought that it was serious. Kwani hiyo 100K ina umuhimu gani? Hata hizi likes zina umuhimu gani? What is priceless ni huu utani na vicheko. Tuvumiliane bana!
 
Back
Top Bottom