The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Hahaha acha nikupumzishe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bradha unataka kumdoea mgonjwa uji[emoji28]
Wa kulaumia dada zake na Melinda na Robert mwenyewe..Nani wakulaumiwa?
#ifyouknow
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Yaani mimi kaniambia amepona halafu anakudekea wewe[emoji3][emoji3][emoji3]
Sijambo Moud....wanasemaje pande hizo.!
upo kwenye list ya wahenga niandae salamu nzito[emoji28]?
Mi ntamlamu Melinda kisha RobertWa kulaumia dada zake na Melinda na Robert mwenyewe..
#wewewakumlaumunani
TA kwema kabsa...[emoji2][emoji4]
Vipi habari za TA?
#Uonoupoo..
😀😀😀😀[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kudeka muhimu ujue[emoji28]
[emoji45][emoji45][emoji46][emoji53][emoji53][emoji125][emoji125][emoji125]Not so bad maana tofaut kati ya Welding na Wedding ni kwamba kwenye welding cheche zinaonekana wakati unaunganisa pande mbili ila kwenye wedding unaunganisha kwanza kisha cheche zinaonekana baadaye..so kama uko complicated itakuwa ni added factor! Naomba CV yako tafadhali kama hutojali ili nikusaili nione huo u complexity wako
Duh!! yavunja rekodi
Ufalme ulihitimishwa enzi za Buganda na Banyoro Kingdom, siku hizi ukimpenda mtu chap unamsanukia, maana hapa hujaingilia ufalme wa mtu ila umejiingiza kwenye penzi shirikishi! Asante!Unamjua Mfalme Mswati wa Swaziland tunayepiga naye stori kwenye uzi huu.?
Jitahidi uzijue nguvu za Mfalme
Saalaleeee.....
Melinda unamuonea..Mi ntamlamu Melinda kisha Robert
#namkubalisanaTylerperry
Hahaha, sawa sawa.! Hivi ndo wanasema ulimhola...![emoji28]Mi ni muhenga koko, ila salaam yoyote utakayonipa nitaipokea tu bhagesh[emoji23][emoji23].
Lakini siku tukikutana kanda ya ziwa ili nipokee salaam yako lazima upige goti kama ilivyo ada[emoji23][emoji23][emoji23]
Aah wapi..!Melinda unamuonea..
A Madea Family Funel umeiangalia?tyre perry pia
#tyreperryyupovizurisana
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
#UmekionaKiatuChaFarasiLakini