Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Acha tu bro [emoji16][emoji16][emoji16]Holiday yenyewe si ajabu Dubai au Seychelles. Dah [emoji16][emoji16][emoji16]
ππππ
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We unaamini kweli mkatalunya aje ndo eti muishie kuimba:
[emoji443][emoji443]Watanzania jambo?
Nambari wani eeeeh
Nambari wani ni CCM...[emoji443][emoji443]
Huo ni uwongo tena wa gredi wani....[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Vyakula vyetu wa uswazi hivyo, apo unashushia na maji unalala[emoji19][emoji42]Bro tegemea kuulizwa na King hiko ni nini hapo nilipozungushia[emoji16][emoji16][emoji16]
#wakishuaView attachment 1173920
Bradha eehe mbona hakuna cha kushindwa hapo
#aunawewewakishua
Ni Mashabiki wa Barcelona, wakiongozwa na Davet na Colle
Ahsanteni kwa ufafanuzi.Wakatalunya ni mashabiki wa Barcelona, wakiongozwa na mfalme wa jimbo la Catalonia Davet[emoji23][emoji23]
Ninge hawajakwapua nywila kwelii, huyo sio wewe kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bro Cole Williams unasikia story za wakishua lakini??? mambo ya holiday [emoji16]
Yeah.March 16. 2019?
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema "Ukiona unasifiwa na mabeberu wa Magharibi basi jichunguze"
....and totally unprofessional....[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Niliona mida ile, inabidi nirudipo(in SYB voice)πππKuna comments za wadau huko zinachekesha balaa...
Naona hivi ndio viwanja vyenu Burigi.Ngoshaaaa,burigi orijinoView attachment 1173753
Hahaha eenh haoo hao "Majamaa"
Bro, Davet aliondoka hapa kwa madai kuwa anaenda kunywa uji.Ni mda sasa hajarudi, hujamuona popote?Acha tu bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Bro Cole Williams unasikia story za wakishua lakini??? mambo ya holiday [emoji16]
Atakua simba day huko taifaBro, Davet aliondoka hapa kwa madai kuwa anaenda kunywa uji.Ni mda sasa hajarudi, hujamuona popote?