Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Heheh! Safi sana

#Hakunakuact
#Unakuareal
Hata wanaojaribu kuact hapa mwishowe huishia kuumbuka. Imagine mtu unajiita mgumu halafu kila siku huachani na maua waridi, magauni ya bluu, viatu vya mchuchumio pamoja na mvinyo. Whai?

Au sijui unajifanya una jimbo la kudumu lakini ukiona jimbo jipya nawe umo kinyang'anyironi. Kha !!!

Be real man...

#NakuaminiaBro
#UnazinduliwaKilaLeoLakiniBadoUnaongezaMajimbo
#Youdaman [emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109]
 
Hahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…