andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Jamaniii [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Eti mgumu dhaifu... Kikwete walimuita dhaifu, hebu waulize sasa hivi, waliyenae wanamuitaje? [emoji16][emoji16][emoji16]... Mimi sisemi! Poti, ila
Siku akitokea hata kama niko usingizini nistue, nitakurupuka! [emoji16][emoji16][emoji1493][emoji3603][emoji1493][emoji3603][emoji1493][emoji3603]
Ya nini kujificha ficha bro?
#UkweliLazimaUsemwe
#IlaHataFlatScreenNakulaga
#SichaguiMbunye
Safi safi kabisaShwari, mambo vipi
We bro huna ugumu wo wote. Afadhali hata hako kenzako kabeba maua na mazagazaga mengine. Wewe kashemeji karembo kamodo ka-Switiliii kalikuendesha hapa juzi juzi tu bro. Na sasa kuna faili lako limetua mezani kwangu limeshiba kweli kweli...Daah asubuhi nimeona tuhuma zako kwetu nimecheka sana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#sisindiyosisibrowagumu
Salaam ndugu yangu. Mungu ni mwema, sijui huko Bradha?Salamu kwako bro, natumai ni kwema huko.
Nas - Life's A bi*ch
HahahaNao liseni tu mi keafuli...
View attachment 1176051
Nipo ukihitaji ushauri wa malavidavi na ishu zingine za kimaisha...ila arguments mwiko !!! [emoji16][emoji16][emoji16]Usinitenge sasa brother daah!
Age is just a number [emoji85]
Usisahau kutupaka na rangiAcha niwachore
Haina shida kaka....no way inabidi nikubaliane tu na masharti yakoNipo ukihitaji ushauri wa malavidavi na ishu zingine za kimaisha...ila arguments mwiko !!! [emoji16][emoji16][emoji16]
Ahsante sana Ankoo. Tupo pamoja ndugu yanguSalama ankoo,huku kwema kabsa,,nashukuru kama haujambo wewe pamoja na familia hapo nyumban...wasalimie ndugu zangu
Hapo sawa sasa...Haina shida kaka....no way inabidi nikubaliane tu na masharti yako
Yaani hata mitego ya akina Madilu haihitajiki kabisa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mhenga mwenzangu hawa watoto wa siku hizi wanakamatika mapemaaa
Lala salama [emoji1545][emoji1545]Goodnight y'all
#nishaanzakusinzia [emoji42]