Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hayo mengine achana nayo. Si kila kicheko ni cha furaha, kuna cha utamu na kicheko kingine ni cha machungu ya majeraha ya nafsi.Upendo wangu kwako ni wa dhati kabisa, tupo pamoja.Kwema tu anko(hata pasipo kua kwema kuitikia kwema ni vizuri ili mambo yaende sawia)
Salamu za kutosha kwa wajina
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
#Eeh!
[emoji2089] [emoji2089][emoji2089] Nakufata
ShikamoooNas - Can't forget about you
Sahivi yeyote tu mkuu[emoji23][emoji23]
Kabisa anko. Happy long weekend. Weeiend iwe ya furaha na amani.Hayo mengine achana nayo. Si kila kicheko ni cha furaha, kuna cha utamu na kicheko kingine ni cha machungu ya majeraha ya nafsi.Upendo wangu kwako ni wa dhati kabisa, tupo pamoja.
Acha tuishi dunia inavyo taka.
Salaam zako zimefika.
Salama kabisa jirani. Tumefurahi ujio wako ndani ya nyumbaHabari zenu majirani nmepita kuwapa Hi
Kama nyoka vile
Marhaba dada ake!!salama huko?Shikamooo
Ndo umetekewa huku?[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
Hizo mbio wapi tena,karbu utie baraka [emoji16][emoji16]Shikamooo
Ndo umetekewa huku?[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]