Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mapigo ya moyo yanapoongezeka sana ni hatari na yanapo pungua sana pia ni hatari.
Kuna siku nilikuwa napambana na jimama kulinda heshima ya ukoo moyo ukawa unapiga kwa kasi mpaka nikawa nasikia mapigo yake kichwani na masikioni mpaka nikawa najisemea kichwani "Shigongo hia ai kamu fronti peji bageshi"...

Nikaomba taimu auti nikanywa maji na kujimwagia maji ya baridi moyo ukarudi sawa mpambano ukaendelea. Ila siku ile nilishtuka sana. Kwenda kwa Kadiolojisti moyo safii hauna shida. Ilikuwa ni kukamia tu...Ai wili neva fogeti zati dei [emoji16][emoji16][emoji16]

(Treni tayari [emoji2099][emoji2099][emoji2099])
 
Tupo bro[emoji16],,,habari ya uzima bro?
Naomba Mungu Anipe miaka mingine 40 hapa duniani maandaeitini wote nije niwaone nyote humu mkiwa mmehengeka. Itakuwa powa sana...

Uzima upo tele bro. Nipo hapa kuna reggae festival akina Buju Banton wanashusha muziki wa kufa mtu laivu kabisa...ila fokasi yangu ni yale mambo bro. Ni Summer na yapo ya kila aina yaani. Fulu raha yaani dah !

Huko kwako vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…