Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tuombe uzima bro..

Hahaha imebidi nicheke bro,kwa hiyo zile figure za kijamaika zipo sana hapo?
 
Hakuna mwanamke wa hivyo [emoji3][emoji3][emoji3]yaani haiwezekani
Aaa wapi. Wapo wanaojiamini. Niliwahi kuwa naye wa hivi. Yaani akiona mzigo uliosheheni sawa sawa hata kama sipo anapiga picha na kunirushia. Tulikuwa tunacheka sana. Zaituni Ai misi yu [emoji7][emoji7][emoji7] [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Aisee huyo alikuwa ana kutega ila moyoni anaugulia maumivu.
 
Wivu lazima binafsi siwezi yaani baby awe na mimi ageuze shingo huo ugomvi wake hakuna muamuzi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Jamanii [emoji16][emoji16][emoji16]

Kama ni mimi nakuomba rukhsa kabisa "Bebi huu msambwanda hevi. Naomba niucheki pulizi"...Rukhsa utatoa au moto utaniwakia pia?

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Anyway. Nakutania tu. Inapunguza heshima kwa uliyenaye kama mwanaume unakata shingo kila sketi inayotikisika ikipita mbele yako. Wanaume wengi hujaribu kuangalia kwa kuibia sana kama kinyonga au hujikaza tu kiume na kupotezea. Nakuelewa sana mpendwa...
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kifo cha heshima ni kufia juu ukilinda heshima ya ukoo.
Shemeji Mbagala kwema?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kifo cha heshima ni kufia juu ukilinda heshima ya ukoo.
Shemeji Mbagala kwema?
Huku Mbagala kwema shemeji. Vipi weye uchovu wa safari? Au umeongezeka?

Haya magari makubwa haya ninayoendeshaga haya ni hatari sana. Ni vizuri kuwa na tahadhari [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…