Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani thamani yangu kwako bageshi ni likes tu? Miaka yote hii tuko hapa pamoja? Vere sadi yaani [emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naogopa kuingia ndani zaidi. Ushawahi pata maumivu ya kumzoea mtu mpaka kujihisi akiondoka umepungukiwa kitu?(kama bado yasikie kwa jiran tu bro) Siku JF ikipotea si nitapata tabu sana bora niwape thaman ya likes tu life isonge.
 
#kamayanumbyhahaha

'Nough said...

Sema tu hutaki kutaniwa. Ukiongezea na maanonimazi foreva yako inakuwa hovyo tu yaani...[emoji16][emoji16][emoji115]
#kamayanumbyhahaha

'Nough said...

Sema tu hutaki kutaniwa. Ukiongezea na maanonimazi foreva yako inakuwa hovyo tu yaani...[emoji16][emoji16][emoji115]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu mpaka siku yale ma plus size yake anayoyapenda yatakapo mresitisha inipisi ndio atakapoipata khabari yake! [emoji16][emoji16]
Zali lile lilitokea kabla sijayajulia vizuri poti. Nilikuwa bado natumia maguvu sana na papara. Siku hizi nimeshayajulia na hayanizidishii mapigo ya moyo wala nini...ni kujimwaya mwaya tu kwenye usoft na mitimbwiliko safi huku ukielea katika mawingu ya raha. Shigongo hatanipata ng'o !!!
 

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Kuna wakati nilitaka kukuendea kwa Lucifer Orijino nikapewe lijoka limoja lije likuchoropoe huko ulikojificha...

Ila kweli. JF hii ikifa tutapata shida japo naamini baada ya siku kadhaa tutazoea na maisha yatasonga. Baadhi mtakimbilia kwingine kama mlivyofanya wakati ule mlipohamia KT na akina Ntolilo/Ntoriro...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti lusifa orijino daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…