myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kama hivyo sawaa...Nilikuwa nakutania. Mafao yapo yamewekezwa vizuri. Ni kula bata tu bana....Pulizi kamu [emoji1545][emoji1545]
Nakusubiri ila usije ukanifanyia kama Felister alisema anakuja kunipa kumbatizi la kunilaza tangu juzi nipo nasubiri...Wai noti..?
Nakuja Chap Chap[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwema kabisa Ze Don, heshima yako[emoji137]Nakusubiri ila usije ukanifanyia kama Felister alisema anakuja kunipa kumbatizi la kunilaza tangu juzi nipo nasubiri...
Kwema lakini TH? Majamaa yako hayajambo?
Kwema kabisa Ze Don, heshima yako[emoji137]
Apo itabidi nipange foleni mpaka upate kumbatio kwanza [emoji38][emoji38] [emoji125][emoji125]!!
Majamaa hata sijui yamejificha wapi leo...pako kimyaa hadi raha[emoji41]
Foleni ndio mpango....Usije ukalikosa kabisa bure,[emoji13][emoji13]Eti upange foleni mpaka nipate nini? Uwiiiiii !!!
Leo ligi inaanza. Si ajabu majamaa yanapanga mikakati ya kubeti....
ASANTE TH
Kwa hiyo majamaa yalifanikiwa kukuchukua kushabikia timu ya menyewe ama? Hebu nikumbushe. Ni timu gani ilikuwa? Man City au Man U. Nilinyong'onyea sana ulipokataa kuja kwetu Aseno kwa kisingizio cha steresi [emoji16][emoji16][emoji16]Foleni ndio mpango....Usije ukalikosa kabisa bure,[emoji13][emoji13]
Pengine wapo kwenye screen....mimi mwenyewe niko macho kutizama Mpira hapa
Liverpool wakishinda utamuona tu kuwa na subira