Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ahhahaa sifa huwa zinatuponza wanawake..tena ukutane na fundi wa kusifia uwiiii utajihisi mmoja wa wale warembo wa misri enzi hizo
Hahahaha hapo anajikuta ana Umbo nzuri halafu baadhi ya wanaume huwa wanatulisha matango pori mtu unakuta kama Mimi Sina chura lakini unakuja jamaa ana kusifia kinoma 😀😀😀😀
 
Hahahaha hapo anajikuta ana Umbo nzuri halafu baadhi ya wanaume huwa wanatulisha matango pori mtu unakuta kama Mimi Sina chura lakini unakuja jamaa ana kusifia kinoma [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Utafiti wangu mfupi unaonyesha kuwa mabinti wanaopenda kujinadi kuwa hawana chura ndiyo wamefungasha balaa in real life. Sema tu hatuwezi kuonana humu....

Hongera mpendwa kwa kuwa mashalaah katika nyanja hiyo [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…