Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nakwambia wakina Simba wa buyenze, Bak na Capitalpool wamekuharibu tayari hukuwa na tabia hii kabla [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Weweeee...!!!

Misemo karibu yote humu ya kwake sema tu siku hizi kuna kautakatifu takatifu fulani hivi amejivika na ameshaacha matani yanayohusu misambwanda, saksafoni, maparachichi, konokono na mengineyo (na misemo yote hii ya kwake). Uzi huu we uache tu ulivyo bali hakuna mtakatifu humu (labda miye sometimes). Hata wewe sasa unajifanya mature huna maneno mengi mpendwa zinakutoka lakini tutaona huko mbele ya safari unless uondoke [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…