andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Jamaniii!!!Weweeee...!!!
Misemo karibu yote humu ya kwake sema tu siku hizi kuna kautakatifu takatifu fulani hivi amejivika na ameshaacha matani yanayohusu misambwanda, saksafoni, maparachichi, konokono na mengineyo (na misemo yote hii ya kwake). Uzi huu we uache tu ulivyo bali hakuna mtakatifu humu (labda miye sometimes). Hata wewe sasa unajifanya mature huna maneno mengi mpendwa zinakutoka lakini tutaona huko mbele ya safari unless uondoke [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Ila mashabiki wa messi mnahangaika sana. Anyway wachora tattoo lazima wapeane sapoti
Hehehe huyu ndio kiboko. Kumuita anko ilikua mbinu ya kumpunguza spidi flani hahaha[emoji125][emoji125]Kumbe nilikuwa sijamsoma vizuri asante kwa kunielewesha best.
Ila mashabiki wa messi mnahangaika sana. Anyway wachora tattoo lazima wapeane sapoti
Sijakupata vizuri kijana mpoleEver you ever had, you have Soul Mate ???
SawasawaSiwezi kuwasemea wengine ila kwangu uko sahihi kabisa. Na siyo wanene tu. Ni lazima wawe na wese pia [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1177739
Sijakupata vizuri kijana mpole
Hee kumbe juve wanacheza leo,hata sina taarifa na huyo jao wa timu gani? Heheee hb ronaldo anawapelekesha jamani alipo mpoNamwangalia Joao Felix hapa anavyo watesa mabeki wa Juve [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Binti Mpole uko powa
NdioUmeshawahi kukutana na Soul Mate, nimeona hapo maelezo yako kuhusu Soul Mate. Just curious
Ndio