Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
HahahIla mashabiki wa messi mnahangaika sana. Anyway wachora tattoo lazima wapeane sapoti
Asante sanaHongera sana Aisee
JF7 katabiliwa makubwa sana...ATM hawakuwa wajinga kumwaga mapesa yote yale...Joao Felix kashawaua juve kaka yake Ronaldo anaruka ruka tu huyu astafu soka Tu
Hahahaha laiti kama angekuwa kidume usingeweka hii picha
JF7 katabiliwa makubwa sana...ATM hawakuwa wajinga kumwaga mapesa yote yale...
Kafanya ass kaona kama haitoshi dogo kaenda wavuni mwenyewe...what a goal[emoji16]