moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ankoo hizo kona zote sijapata hata moja,,,nilichoambulia ni hapo kwa Wa...ya pekee[emoji23][emoji23]
Wamarekani mpaka leo wakiona hizo kofia ni kutoka mkuku tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Uoga umezidi sasa [emoji16][emoji16][emoji16]Lori lililosheheni Sukari laanguka, wananchi wamelikalia mbaliView attachment 1179651
Kwa mbwembwe na majigambo hawana mpinzani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] wazee wa british kingdom[emoji119][emoji119]
Mitaa ya hovyo hiyo usiende bro...Ankoo ana tabu sana,maelezo yote yale kumbe anataka kunielekeza ile mitaa ya Wa...ya[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16] kesho shuleHuu uzi nimecheka sana...jamaa ana sifa kama zote[emoji23][emoji23]...kwamba kamwe hanunui gari ambalo km tayali zimesoma[emoji23][emoji23]
Asiyefanya kazi na asile
View attachment 1179597