moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ukizubaa unaliwa...Mpambano wa kuepuka kifo dhidi ya anayejipatia mlo
Inabidi wajiongeze. Pengine hawana mahusiano mazuri na jirani hawa [emoji16][emoji16][emoji16]Huyo jirani mbaya[emoji23][emoji23]
Wewe umeona nini?
Wamarekani mpaka leo wakiona hizo kofia ni kutoka mkuku tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Goli la bandia hilo, kama sikosei...Nimeona goli liko wazi, golikipa katoka [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Uoga umezidi sasa [emoji16][emoji16][emoji16]
Ukizubaa unaliwa...
Ukizubaa unakufa na njaa....
Maisha !!!
Goli la bandia hilo, kama sikosei...
Ni biashara [emoji16][emoji16][emoji16]
Vipepeo wamejaa humo...Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!
Naam, Bwana E N amekutana na ‘Mkono wa Bwana’ jana jioni akitokea Bagamoyo. Bonge la ajali! Miguu yote miwili kwishney. Inadaiwa huyu ndiye huongoza operesheni za kuwaumiza watanzania. Inavyoelezwa, ni beyond repair labda apelekwe ng’ambo. Akipelekwa huko pia tutawadondoshea kinachozidi...www.jamiiforums.com
Hahahaha bro...wapi sugar rayHahahaha[emoji23][emoji23][emoji23],
Hao wa..ya ni majirani zetu, mitaa hii wamesambaa sana.