Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

NASA's Parker Solar Probe launched a year ago on a mission to touch the sun. Since that fiery early morning liftoff with the mission's namesake, Eugene Parker, in attendance, the probe has made two full orbits of the sun, according to NASA.

 
Kufanya mauzo mtandaoni ni zaidi ya kupiga picha na kuziweka mtandaoni tu. Watu wengi wanaamini kwamba, ukiwa na bidhaa ukaiweka mtandaoni basi wateja watamiminika. Inaweza kuonekanai ni kazi rahisi sana. Lakini kwa uhalisia inahitaji “sadaka” kubwa zaidi.
 
Kufanya mauzo mtandaoni ni zaidi ya kupiga picha na kuziweka mtandaoni tu. Watu wengi wanaamini kwamba, ukiwa na bidhaa ukaiweka mtandaoni basi wateja watamiminika. Inaweza kuonekanai ni kazi rahisi sana. Lakini kwa uhalisia inahitaji “sadaka” kubwa zaidi.
 
Unaweza kufanya hivi kwa kuwaonesha a video au kuwaandikia makala zinazowaelimisha na zenye thamani kwao. Mfano, kama unafanya biashara ya nguo, unaweza kuandaa video au kuandika makala kuhusiana na mitindo iliyoko kwenye chati, njia mbalimbali za kuwaa mrembo n.k. Kwa kufanya hivi, unatengeneza jamii inayokuamini na itakuwa rahisi kwao kununua bidhaa kutoka kwako.
 
Kuwauzia Watu Ambao Hawapo

Kama hujui watu unaowauzia/kuwatangazia bidhaa yako, ni kama unawauzia wateja ambao hawapo. Na kujaribu kuwauzia wateja ambao hawapo, si tu unapoteza muda, bali ni kigezo kikubwa cha kutofanikiwa.
 
Kama unauza bidhaa maalum, anza kwa kujifunza wateja wako walipo. Mitandao ya kijamii imegawanyika. Watumiaji wa mitandao hiyo wamegawanyika vile vile. Ni kama soko la Kariakoo, kuna upande utakua unauza nguo sana, kuna upande unauza vitu vya elektroniki, na kuna upande unauza vifaa vya ofisini tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…