Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Bro.....Maybe even the logic itself is wrong
I’m just thinking [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu mtu anakuchapia. Nooo weiii wallahi...[emoji16][emoji16][emoji16]
Good evening to you bro.Good Evening Guys
Mbagala kwema shemeji. Huko kwema? Fikisha salamu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Habari ya Mbagala?
Bro.....
Unataka kuwa kama Kiranga sasa...
Umenifurahisha sana bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Buster Douglas did him good....February 11, 1990 in Tokyo. Mwacheni avute...
View attachment 1181427
Asante bro...
Ukirudi kutoka chimboni kwako tutafutane. Si ajabu tu majirani huko Uswazi kwetu...
The Sweet Science. Ndiyo mchezo pekee ninaoukubali kabisa kabisa kwa sababu hauna mbwembwe na unamwonyesha Homo Sapiens katika uhalisia wake. Ukileta mbwembwe kama huyu Uzzy wa Pakistani [emoji116][emoji116][emoji116]unaweza kujikuta katika matatizo makubwa...Jamaa anarusha Makonde mpaka raha mixer na upper cut, Mchezo huu mtamu sana Tatizo Tu unaweza sababisha uhai wa mtu kupotea
Amen bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kabisa Bro
Hii Muhimu sana, uzima na uhai tu
Tutakutana Mbagala
The Sweet Science. Ndiyo mchezo pekee ninaoukubali kabisa kabisa kwa sababu hauna mbwembwe na unamwonyesha Homo Sapiens katika uhalisia wake. Ukileta mbwembwe kama huyu Uzzy wa Pakistani [emoji116][emoji116][emoji116]unaweza kujikuta katika matatizo makubwa...
View attachment 1181433
Alikuwaga na mbwembwe sana na kudharau wapinzani wake. Alipigwa mpaka akalazimika kustaafu angali kijana kama sikosei...Na vitu vingi katika maisha viko hivyo. Havitaki mbwembwe...Huyo Bondia ametumia nguvu nyingi kwenye tambo na mbwembwe hatimaye kaangukia pua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]