Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Magoti yamejaa makovu kwa kuanguka, kucha za mguuni sina hata moja kisa kujikwaa wakati nakimbilia ubuyu...uzee wangu nimeuchezea kamariii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hahaaa... Mzee una balaa wewe! Nimechungulia humo anasema vyeti vyake vinamruhusu kupata kazi nje ya nchi, sijui ana vyeti gani? Kwani nasikia huko nje ya nchi watu wana mivyeti ya kufa mtu lakini wanaendesha UBER! [emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waswahili ukute tulikuwa na mungu wa peke yetu na amesha kufa... Tumebaki na Mungu ambaye hatuja mzoea. Hatujiamini kwa lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…