The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Wanaudhigi sana. Mi naziachaga akaunti zinakufa nafungua nyingine tu [emoji16][emoji16]
Ipi hiyo?Hahahaha, hata mie nimeshangaa kumbe yupo[emoji13]
Embu muwekee ile hashtag yako asiyoipenda[emoji125][emoji125]
#Ninamoodyafujo[emoji3]
Siri nyingine ni kutumia nywila moja kwa akaunti zote. Ikiwa nywila ni ngumu kama hii yangu powa tu aisee vinginevyo rahisi kusahau mazimaYaani, mie ndo msahaulifu hadi basi mpaka imenibidi niwe naandika nywila pembeni[emoji53]
Aamin kaka ake[emoji120][emoji120]
Kwa nini una mood ya fujo?Hahahaha, hata mie nimeshangaa kumbe yupo[emoji13]
Embu muwekee ile hashtag yako asiyoipenda[emoji125][emoji125]
#Ninamoodyafujo[emoji3]
Too much....Hii ndiyo ambayo Hawachi inamuogopesha
Eenh, hiyo hiyo! Kumbe ilikatazwaa[emoji38][emoji38]Ipi hiyo?
Kuna moja hapa imepigwa marufuku na wananzengo...ile ya #...hakuepukiki...
Iliyomchoropoa ni hii yako:
#mapachawatapatikaniahapo
Ilikatazwa eti inawakatisha tamaa waoaji na kuwaudhi walokwishaoa...[emoji16][emoji16][emoji16]Eenh, hiyo hiyo! Kumbe ilikatazwaa[emoji38][emoji38]
Ha wa yuuni wazee wa likes
[emoji7][emoji7] that's my BrotherIf u marry my sister and u make a mistake of beating her.I don't care what she did,ama find u and we gon have wrestlemania[emoji41]
Wakuu Wakuu habari za wakati Huu
Muendelee kufurahia zawadi hii ya maisha ambayo tupo nayo