Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Nimefika Namagondo kwa Rosa Mistika. Sikuona maua. Jadi ya kubebana na mikokoteni ya maua, magauni ya bluu, viatu vya mchuchumio pamoja na mvinyo mwekundu Wakerewe wameianza lini?
Yeah!Hahahahaha lol! Wahuni wakistukia SHIMBA kaweka kambi mahali na wao wanataka wapite humo humo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata anayemuoa huyu mama ana shida. Anaoa kahaba mwenye laana, visasi na ukatili. Mungu na Amsaidie [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Naolewa ila nimeamua kufanya revenge kwa maex zangu
Naolewa siku sio nyingi ,ila nimeamua kufanya revenge kwa wanaume walionicha Wa kwanza nilimtafuta nikamlilia sana nikampa na limbwata ,ndoa yake inapumulia oxygen amemfukuza mke wake anaplan tuishi wote Mimi hata sina mpango nae nakamilisha tu kisasi changu nimkimbie , Mwingine nimeshamseti...www.jamiiforums.com
Hata anayemuoa huyu mama ana shida. Anaoa kahaba mwenye laana, visasi na ukatili. Mungu na Amsaidie [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mwache afanye hivyo visasi lakini hata yeye hatabakia salama. Tena visasi vya kutumia mwili wake?Sijui watu wanapata wapi ujasiri wa kuwa na roho mbaya kiasi hiki!
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji122]