Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
kuna nesi fulani alikuwa anawasimulia hadithi watoto wadogo waliolazwa kwenye hospitali fulani iliopo nchini fulani basi akafika sehemu akawauliza kwa nini kifo kimeumbwa?Kifo....basi tu yaani hakuna ujanja..
RIP Carol
ingelipendeza zaidi kama angeliweka makeup mpaka kwenye shingo ili aondoe makunyazi.
Hayo sio makunyazi mkuu shingo yake ndivyo ilivyo hapo hata akipaka makeup anabaki hivyo ana shingo nzuri sana.ingelipendeza zaidi kama angeliweka makeup mpaka kwenye shingo ili aondoe makunyazi.
huyo ahjumma anafikisha miaka 43
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ngoja nikusaidie muheshimiwa.
amesema ana watoto saba
ubora wa shingo unapimwaje ili nisije nikaadhirika tena mbele ya hadhira?Hayo sio makunyazi mkuu shingo yake ndivyo ilivyo hapo hata akipaka makeup anabaki hivyo ana shingo nzuri sana.
rafiki fanya uandike kitabu.Tunapoongelea suala hili au neno mafanikio, kila mtu huwa ana maana yake kulingana na maana yake anayokuwa nayo kwa wakati wake na kwa eneo lake husika analohitaji mafanikio hayo yatokee katika maisha pia kulingana na ndoto yake aliyonayo. Nikiwa na maana kuwa kila mtu ana tafsiri yake kuhusu mafanikio kutokana na muda na wakati alionao na anaoendelea kuuishi hapa duniani. Kwani kuna Mafanikio mengi kutokana na mtu mwenyewe binafsi kwa muda wake husika anaohitaji mafanikio hayo na kwa njia hiyo ndio maana huleta tafsiri halisi ya yeye kuelewa kile anachotaka kufanikiwa kwa wakati huo aliokuwa nao.
Aisee!!!
Mpendwa Unazungumzia hii mistari ya shingoni ama comment yako nimeelewa vibaya kwako umemaanisha makunyazi.kwa uelewa wangu hiyo mistari sio makunyazi ni maumbile yake yapo hivyo.ubora wa shingo unapimwaje ili nisije nikaadhirika tena mbele ya hadhira?
dah basi nilifikiri iyo mistari ya shingoni inasababishwa zaidi na umri wa muhusika ndio maana kwa kuiangalia mistari ya shingoni nikamkadiria umri wake ni miaka 43.Mpendwa Unazungumzia hii mistari ya shingoni ama comment yako nimeelewa vibaya kwako umemaanisha makunyazi.kwa uelewa wangu hiyo mistari sio makunyazi ni maumbile yake yapo hivyo.
duh! aibu
Arsenal have won their first two games of a Premier League season for the first time since 2009-10. Awaited.