Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1566036927689.jpeg
 
Poti taratibu, kama wewe ulikuwa unachomoka kwenye madarasa yako huko ya Kisutu unazama Kisutu Girls basi hauko kwenye kundi la wapole! [emoji16][emoji16]
Hahahaha poti umenikumbusha mbali sana nilikuwa na mtoto mkali sana wa kisomali anakaa mtaa wa zanaki yaani tukitoka shule break kwao kwanza Kupata mapochopocho NASRA mtoto wa kisomali siku hazigandi
 
Back
Top Bottom