mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mpole wewe unakumbuka ban yako ilisababishwa na naniJamaniiii. Mpole pekee ni mie hahahah
Ukichokozwa unakuwa mkali
Mpole wewe unakumbuka ban yako ilisababishwa na naniJamaniiii. Mpole pekee ni mie hahahah
Yupo huwa anaibuka mara moja mojaAisee zilikuwa good days sana kwenye Uzi huu wapi carba jamani
Mzeee hahhaha kaushaaaMpole wewe unakumbuka ban yako ilisababishwa na nani
Ukichokozwa unakuwa mkali
Poa mkuuMzeee hahhaha kaushaaa
Aiseee hapo ni fumboPoa mkuu
Kesho mnatoka
Mhm hapo umebugi
Yaani kwa umbo kama la mama Sanchi unaweza kukumba-"tiana" tu na mama mkwe "ikibidi"... Wewe ndio shuwaini kabisa kwenye mila na desturi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aisee afadhali hii imeisha. Mi nisingeweza. Nilikuwa nawaangalia mashemeji zangu akina Mwakaleli na wa kusoma wakihenya aisee ilikuwa shida. Hata salamu zenyewe zilikuwa maalum...Siku hizi mama mkwe kama huyu mamake na Sanchi mnaweza hata kukumba-tiana tu ikibidi [emoji16][emoji16]
View attachment 1184717
Siku hizi mmekuwa familia moja.Mzeee hahhaha kaushaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]