Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji120][emoji120][emoji120]
Hakuna cha kuogopa wala nini. Tuanze kuwa kama wazungu. Tuchague mahali pa kuzikwa. Tuandae kila kitu. Tuandike wosia na kuwaaga wanetu mmoja mmoja kwa upekee wao. Tugawanye mali zetu tukiwa bado hai...na kama unavyosemaga, tujitahidi kuwa binadamu wema na kujikabidhi kwa Muumba wetu. Siku ikifika tunaondoka kwa amani kabisa bila woga.
 
1986
FB_IMG_1566153318019.jpeg
 
Katika hilo watu hawaambiliki
sisi waislamu baadhi ya wakati tuna vituko vya ajabu ajabu ndio maana ndugu zetu wa imani nyengine wanatudharau na kutuona tuna upungufu wa fikra.

unajengaje misikiti takribani 40 kwenye jiji moja huku huduma nyengine muhimu za kijamii ukizipotezea kana kwamba msikiti pekee ndio utatatua matatizo yote yanayomkabili mwanadamu kupitia maisha yake ya kila siku.

ukija huku kwetu zenji ujinga huu bado unaendelea kutapakaa, eneo lenye urefu wa mita 500 unaweza kukutana na misikiti 20 lakini huduma za afya sifuri.
 
Back
Top Bottom