Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ni lazima nipite kutimiza wajibu wangu kamanda hata kama majukumu yanabana. Pamoja sana !!!Kamanda SHIMBA YA BUYENZE nakuona unapita kimya kimya, matumaini yangu uko buheri wa afya
Sijambo Kaka yanguDadangu mpendeka sana usiye na makuu, hujambo?
Ni lazima nipite kutimiza wajibu wangu kamanda hata kama majukumu yanabana. Pamoja sana !!!
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Ongeza sauti mkuu
Ngoja nikwambie kitu...Cc SHIMBA YA BUYENZEView attachment 1189574
Miaka inaenda kasi sana.[emoji16][emoji16][emoji16]... Mambo ya Tokomile! Mundu mkononi!
Hizi pisi za wapi kwa kagame ama?Ongeza bro...[emoji351][emoji351][emoji351][emoji351]
This is Yanga [emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 1189990
Wewe sasa umezidi. Mpaka na shingo imepinda? Huko home si angalau misambwanda huwa inafichwa kwenye mabaibui na madera? Njoo hapa Dar Posta Mpya. Utarudi home bila shingo [emoji16][emoji16][emoji16]kwa huu utafiti wacha na mimi nimwite babu SHIMBA YA BUYENZE
kumbe hii shingo yangu iliopinda imeshapata tiba
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Thimbaaaaa mnyamaaaaaa unyamaniiiii
Tujuze mkuuAndaeitini mnamjua huyu?View attachment 1189992
Marahaba. Sis. Kidogo ishu zilibana japo nilikuwa nikipata kawasaa nilikuwa nazurura huko mitaani na kupita hapa kuwapa haki yenu. Asante sis [emoji1545][emoji1545]Sijambo Kaka yangu
Shikamoo [emoji4][emoji4]...nimefurahi kukuona hapa, nilikuwa nimekumiss
Za kwetu hapa Jangwani broHizi pisi za wapi kwa kagame ama?
Itapendeza sana....nimekuwa mzembe hatariJamani, basi nitakuwa nakustua kila siku tukiwa na game, eeh! [emoji134][emoji3603]