Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Poti wewe jifanye Vegetarian watakutangaza Mbagala nzima. Yule Baba ana hela lakini kila siku anakula mchicha! [emoji16][emoji16]
 
Poti wewe jifanye Vegetarian watakutangaza Mbagala nzima. Yule Baba ana hela lakini kila siku anakula mchicha! [emoji16][emoji16]
Acha watu waigize maisha tu kwa sababu hakuna namna. Nani anapenda kuchekwa?

Halafu mleta mada kabisa kafunga safari kwenda kuchunguza jamaa kama ni kweli anaishi pale [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sis umeanza. Nondo zako....

Procrastination na perfection ni maadui zangu wakubwa. Yaani mchongo wa hela ndefu waweza kunipita hivi hivi kisa eti proposal haijakamilika ninavyotaka. Tabia ya hovyo kabisa !!!
[emoji3][emoji3] mimi mwenyewe hako kaugonjwa ka procrastination nilikuwaga nacho sasa hivi nimepunguza. Kuna boss wangu huyo alikuwaga perfectionist basi ilikuwa tabu sana, yaani anakupa maelekezo unafanya anavyotaka ukimrudishia anaona haifai unarudia tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…