Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

No trees No life
This is a world crime.
Earth it's our only home.
Brazil nao wamepata rais wa ajabu kama Trump tu. Ameruhusu makampuni mengi ya uvunaji magogo na uchimbaji wa madini na amefuta baadhi ya maeneo ya Amazon yaliyokuwa hifadhi za makabila ya asili. Matokeo yake msitu umepigwa moto na wengine wanadhani pengine ni njama za makusudi ili kuwafukuza wenyeji katika maeneo yao. Hovyo tu viongozi hawa wasio na maono !!!
 

[emoji16][emoji16][emoji16]... ni kakivuruge hako aisee! Kameitwa kakaitikia ile, Abeee! [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…