mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Indeed walahiKuweni waangalifu sana hasa kwenu mabinti tuliowazoea humu. Mshakuwa kama ndugu na binafsi nitaumia sana siku nikiona mmoja wenu kadhalilishwa. Najua mngali bado maandaeitini na mahomoni yakianza kuwakukuruka mishipani humo mnapoteza fokasi. Please be careful. Siyo hapa tu bali hata huko FB, IG, Twitter na kwingineko. Ni hatari...
Si haba, Mungu anasaidia...vipi weye hukoKwema TH mambo niaje
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Umeongea kwa hisia sana Shimba, Tunajitahidi sana kuwa waangalifu juu ya hili jambo.! Ni aibu kwakweli yakikukuta
Asante kwa hekima na busara zako The don be blessed always[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Amun RaUmeongea kwa hisia sana Shimba, Tunajitahidi sana kuwa waangalifu juu ya hili jambo.! Ni aibu kwakweli yakikukuta
Asante kwa hekima na busara zako The don be blessed always[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
...malizia basi hiyo indeed walahi. Ukiikata namna hiyo hainogi [emoji16][emoji16][emoji16]Indeed walahi
Du hahahaha hatari sanaMi nina pea tatu tayari...
Next [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1818][emoji1818][emoji1818][emoji1818][emoji1818][emoji1818][emoji1818]Yu a re gudi styudenti...
We start tomorrow with a brief intro titled:
Twins: Biological Perspectives and Possibilities.
Jiandae [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870]
Nipo poa namshukuru mwenye enzi mkuu kwa uzima na afya na neema tele anazotujaliaSi haba, Mungu anasaidia...vipi weye huko
[emoji120][emoji120] hakika anastahili shukrani.!Nipo poa namshukuru mwenye enzi mkuu kwa uzima na afya na neema tele anazotujalia
Asante TH. Kucheka na kufurahi ndiyo mpango mzima. Nikizidisha matani nionye [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1818][emoji1818][emoji1818][emoji1818][emoji1818][emoji1818][emoji1818]
Huishi vituko hadi raha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ooh oh usijali kabisaAsante TH. Kucheka na kufurahi ndiyo mpango mzima. Nikizidisha matani nionye [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Aisee,hii mimi ntaenda nayo hivi hivi kwa episode moja moja...naona hadi iishe yote ni mbali sanaNasubiri wamalize kutoa episodes zote halafu nikae chini nitazame kwa raha zangu
Hahaha coment tuSijui nicoment neno[emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora umekuja huku kupumzisha akili mrembo.10:00
Mmh utanisema bhanaa....vipi imetoka mpaka episode ngap?Hahaha coment tu