Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
UMAKINI NA MAFANIKIO
Kijana alisafiri bara na bahari kwenda kujifunza siri ya mafanikio. Baada ya kufika kwa mfalme, alivua viatu vyake na kuviacha nje pamoja mwamvuli, kisha akaingia.
"Karibu sana. Nimekuuona tangu ukiwasili kilimani," mfalme alianza kuzungumza. "Umeacha wapi viatu na mwamvuli wako?"