moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Good morning THMmh utanisema bhanaa....vipi imetoka mpaka episode ngap?
Good morning FeliWapi Numbisa jamani?!!
Morng broHahaha
Thanks...same to you
Good morningHahah kwann TH??...hawa bwana wanatoa episode moja kwa kila wiki...ndio episode moja tayali
MMU naona utoto umezidi sanaKule MMU bado kunawaka moto...
![]()
Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili
Kuna uzi mmoja unaelezea jinsi jamaa mmoja wa Dar alivyokimbiwa na Dada mmoja kutoka Mwanza baada ya jamaa huyo kumfosi dada hiyo wagegedane ila dada huyo hakuwa tayari. WADAU. Jamaa anayeelezwa hapo ni mimi kwa 100%. Nikweli nilizoeana na dada mmoja humu jf tukawa mabest sana humu jf mpaka...www.jamiiforums.com
Morning too mzee baba. Hopefully uko Poa kabisaGood morning Feli
Poti potiHapa ndio Numbisa huwa unakuta ananiambia, Hivi wewe mbona huonekani kwenye majukwaa mengine? Mimi jibu langu ni, “Hatoki mtu hapa”. [emoji16][emoji16][emoji16] UGUMU na drama wapi na wapi bana! [emoji16][emoji16][emoji124][emoji3603][emoji124][emoji3603]
Morning bro
YapSehemu pekee tulivu na yenye amani tele
Amun RaAmani na upendo unatawala mda wote
Habari za asbh mkuu
Mkuu habari za asbhDuh!
Na kwako piaAsubuhi njema
Amun RaMungu atupe siku njema
AminaJua linachomoza na matumaini mapya