A.KUANGALIA TABIA ZAKO,unapenda vitu gani hasa au nini ukifanyiwa unahisi kuthaminika.
B.UNALALAMIKA JUU YA NINI,mfano mwenzi wako, wanao ,marafiki zako wasipofanya mambo gani unaona kama wamekukosea hawajakuonyesha thamani.
C.UNAAGIZA NINI,watu wakisafir wakitoka wakiwepo unapenda wakufanyie au wakuletee nin
Kwa kufanya hayo utajua lugha yako ya kuonyeshwa/kuonyesha mapenzi/thamani lakini pia utatambua lugha za wengine.
Lugha yako ya mapenzi ni ipi??hujaijua badoπ€π€ fanya kazi upate kuijua.