The Chosen One
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 3,578
- 17,013
AminaUwe mwema pia kwako
Hahaha siyo ya mwanza...ya Mbeya!
kula likeHapa
Wewe mimi sio gaidiKumbe had wewe gaid unamujua mungu
Ha ha ha usijari mamaa ntafanyaivoUsisahau kutuamsha leo ulitukaushia
Hahaha siyo ya mwanza
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ya pekee kwa kweliBurudani
Namuona vizuriNakuona ujue
CoolMwisho nimeshinda vita,
Nimehangaika sana na vijana,
Nilianza na kichwa kichafu nikadondosha chini,
Akaja Andjul anaweweseka najua huo ndo mwisho wake,
Kuna mtu anaitwa Uniq alikuwa na roho ngumu sana lakini tunakoelekea hataibuka tena kwani ameanza kuonekana kwenye zizi la mheshimiwa flani,
Wiki jana alioneka mmoja anaitwa bigpapa gari lake likaishiwa mafuta mara kwa mara akiwa njiani kwenda kwa babe s akajitoa mapema!
Kwa nini nisifuge kitambi kwa kuwa njia nyeupeeeee.
Haahahahaaa