Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

chochote unachokifanya sasa hivi hata kama huoni matokeo yoyote endelea mbele. Mteja unaeongea nae sasa anaweza kuja kununua miezi mitatu baadae. Matokeo ya kazi kubwa unayoifanya sasa hivi unaweza usiyaone sasa hivi jipe muda wala usiwaze sana juu ya namna watu hawapokei kazi zako.

Jipe muda wa kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…