Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mzee baba hata wewe huwa unalia nilishangaa hata BAK nae poleni aisee.
Aaaaarghh...

Kulia ni tiba(Carthasis). Ni dalili ya kujifahamu. Kuna nguvu na utakaso katika kulia...

Isitoshe upendo wa kweli huwa haufi. Ni sawasawa na particles pacha - hata zitengwe na umbali mkubwa kiasi gani katika universe, moja ikitimbwilika huku nyingine kule (mamilioni ya light years away) inajua tu kuwa mwenzangu kule katimbwilika. Zinajuana !!!

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Japo mara nyingi pia ni kufurahisha baraza tu na kuvutia likes hasa kama mtu uko kiti cha mbele kama Joseverest [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…