Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nimeshamgundua tayari. Ni Felister huyu ananichezea akili tu...Huyu ni member mzoefu kabadili I'd [emoji2][emoji2][emoji2]
Am sorry bro ππKumbe umebadili ID. Umenichanganya bure dadeki. Hufai haki ya nani [emoji16][emoji16][emoji16]
Nilijua ila why dear umeamua hivyo πππππππππ sawa mkuu ila Felister anakusalimia
Huyu ni member mzoefu kabadili I'd πππ
U mzima wewe ππHaha nakusalimia mama
Mzima kabisa, habari ya jumapili?U mzima wewe ππ
Tutegemee nini kwenye hili jina jipya? Depal anatofautiana kivipi na Felister tuliyekuwa tumemzoea?Am sorry bro [emoji23][emoji125]
Nimeamua kuliacha jina langu libaki linatumika huku kwenye uhalisia tu
Duh paja lake Sawa na tumwili changu
Ukitajiwa na mimi nitajie PM [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Naomba nitajie I'd ya Manengelo mpya na Demiss [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]hata pm njoo
She is perfect...Duh paja lake Sawa na tumwili changu
πππ manengelo atakuwa busy na familia tu, ila demiss nahisi yupo tu anatuchoraNaomba nitajie I'd ya Manengelo mpya na Demiss ππππhata pm njoo
Me mbona hamjajua hadi najisemaπUkitajiwa na mimi nitajie PM [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji3591][emoji3591] Hawa wakirudi hawawezi kujificha kutokana na uandishi wao hata wajifiche namna gani. Njemba zitawagundua tu..
Ujue toka Jana najiuliza huyu mgeni mbona kachangamka hivi ππππUkitajiwa na mimi nitajie PM [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji3591][emoji3591] Hawa wakirudi hawawezi kujificha kutokana na uandishi wao hata wajifiche namna gani. Njemba zitawagundua tu..
Kuna member mpya na uhakika asilimia 60 ni Demiss.Me mbona hamjajua hadi najisemaπ