Prince255
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 443
- 1,228
Not only the presidency...power in general...and wealth."I've seen first-hand that being president doesn't change who you are. It reveals who you are." —Michelle Obama
[emoji1417]
Nigeria walipiza...View attachment 1198158
hahahahahahaYeah. Chatu huwa anatoa harufu fulani hivi ambayo huwa inampumbaza mbwa...sawa tu na mwanaume akiona binti aliyefungasha msambwanda wa kufa mtu [emoji16][emoji16][emoji16]
Watu wanajiua sembuse worrying [emoji16][emoji16][emoji16]No woman is worth a guy worrying himself
Not only the presidency...power in general...and wealth.
Ndiyo maana kuna kamsemo "Pata madaraka au pesa tujue tabia zako"...
IMO this is not a solution BUT more destruction in our motherland. So SAD! [emoji22]
AiseeNigeria walipiza...View attachment 1198158
Binafsi najiuliza ina maana hao wananchi wa SA wana nguvu kupita serikalini yao maana hivi vitendo vya ubaguzi na mauuwaji ni vya mda mrefu.Vitendo vinavyofanyika SA ni ugaidi na ujambazi.
Lakini Serikali ya nchi hiyo haijachukua hatua za uhakika kuwapa hakikisho la usalana wafrika waliopo huko.
Moto wa Nigeria ukisambaa kwenye nchi nyingine itakua hatari
Binafsi najiuliza ina maana hao wananchi wa SA wana nguvu kupita serikalini yao maana hivi vitendo vya ubaguzi na mauuwaji ni vya mda mrefu.