Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Ahsante.Tuwe na jumapili njema
Asante sanaPole.
Dawa ya jino ni matibabu.
Fika kituo cha afya kabla halijafika hatua mbaya.
Jino la mwisho dear, Kiswahili wanaita "gego" sijui nimepatia.Pole Mamy, ni jino la wapi?
Asante mpendwaAhsante,
Ugue pole.Pakikucha umuone dentist aisee.
#maumivuYaJinoYaSikioSioYaKitoto
Ndio, ni gego.Jino la mwisho dear, Kiswahili wanaita "gego" sijui nimepatia.
Maumivu yapo kiasi.Ndio, ni gego.
Maumivu vipi lkn?Yamepoa?