Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kipindi halijatolewa lilikiwa linaniuma vibaya mno (x ray ilionesha liliota horizontal na lilikuwa ndani ya fizi kiasi cha kwamba kwa macho ya kawaida halionekani vizuri mdomoni.
Hapakuwa na opt nyingine zaidi ya kutolewa na tangu nimelitoa ndio nimepona
 
Hahahaha mpendwa muoga kama Mimi naogopa vile vifaa vya kung'oa jino nikifikilia akili inagoma kabisa na ile sindano ya kuchomwa kwenye fizi
πŸ˜‚πŸ˜‚ na ile sindano ni inaumaaaa.
Me nilipewa kidude nikavaa machoni, nikabaki kusikia vile vyuma tu vinavyogongana.
Usiombe ufikie stage ambayo ni lazima litolewe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…