Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

hahahahahahaha, mpendwa bana.

Vipi maendeleo lkn?Jana nimekuja halafu hupokei simu.Ni woga wa kung'olewa au?
Sijango'a bado natumia dawa zaidi ya tatu,jino limenipotezea toka Jana. Mpendwa naona unajitetea leo nachomoa betri nina uzi wako haiwezekani nitoke Vingunguti kiembe mbuzi kukufata Mbagara unikaushie😃😃😃😃 picha kama zote naweka kwenye uzi leo.
 
Sasa siungepokea simu yangu uniambie ulipo.Ungejua ulivyonichomesha mahindi wala usingewaza kuchomoa betri.

#ChomoeBetriNitupeKipisiChaFegiChiniTulipukeWote
#hayaUguaPoleDada
 
Baharia ni nani?

Mbona hili neno linatumika sana saivi.

#AchanaNaBahariaMfanyakaziWaMeli
20190904_132549.jpeg
 
Back
Top Bottom