Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
This time hamna uzinduzi wala jiwe la msingiFundi Maiko akiwa kazini 😂😂😂View attachment 1202326
🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️
This time hamna uzinduzi wala jiwe la msingiFundi Maiko akiwa kazini 😂😂😂View attachment 1202326
Hata sijui Nina mingapiWewe unayo 28?
Kumbe lengo lako ni ili tufanane😂😂Hata sijui Nina mingapi
Hivi wanasemaga MTU mzima ana meno 32? Mbona nikihesabu hata hayo 28 sifiki 😂😂
Thanks Bradha
[emoji23][emoji23] na ile sindano ni inaumaaaa.
Me nilipewa kidude nikavaa machoni, nikabaki kusikia vile vyuma tu vinavyogongana.
Usiombe ufikie stage ambayo ni lazima litolewe tu
Hahhaa
Masela bwana.
Hahhaa
Masela bwana.
Jino linauma vibaya
Usifananishe maumivu ya jino na maumivu ya mapenzi yanayovumilika hayo [emoji23][emoji23]