Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Muda wa chai ☕
Jino zaidi mpendwa 😃😃😃Mgonjwa wa jino lete ushuhuda [emoji2211][emoji2211]View attachment 1201964
Binafsi maumivu ya mapenzi huwa nayapoza huwa najiuliza kwani yeye nani niumie kiasi hiki yaani dakika nasahau,jino habari nyingine 😃😃😃Jino linauma vibaya
Usifananishe maumivu ya jino na maumivu ya mapenzi yanayovumilika hayo 😂😂
Ona macho yake kama bundi. 😂😂 ulishawai kutaniwa hivyo?
We're talking with experience😂😂Binafsi maumivu ya mapenzi huwa nayapoza huwa najiuliza kwani yeye nani niumie kiasi hiki yaani dakika nasahau,jino habari nyingine 😃😃😃