Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wasukuma bana [emoji16][emoji16][emoji16]Ubunifu wa fundi maikoView attachment 1202405
Wasukuma bana [emoji16][emoji16][emoji16]Ubunifu wa fundi maikoView attachment 1202405
Hahaha ndo maana anachekelea ignore listNumbisa njoo uone kilichompata Jembekillo [emoji16][emoji16][emoji16]
Wasukuma bana [emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi sijambo (treni tayari) [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Habari yako myoyambendi
Asante mpendwa kwa kunijibu. Zako huwa unaziposti wapi? Nina hamu ya kuzisoma (kama hutojali). Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Eti kwa Mara ya 12.Nimecheka sana. Hizi si zangu. Zangu ni refu si za kuposti hapa
😂😂😂 malengo yako ni yapi baada ya kudandia treni?Mimi sijambo (treni tayari) [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kama wewe ni mke wa mtu hata unipe mzigo laivu nasepa tu kama vile sijakuona. Kwa wake za watu nina will power Yusufu cha mtoto. Ila kama hujaolewa Ooooh Jizazi [emoji7][emoji7][emoji7]Hebu njoo nikujaribu nione kama utachomoa[emoji23][emoji23]
Ni msemo tu kama misemo mingine. Utapita. Huu wala connotation yake siyo nzuri kwa sababu kimsingi baharia is a male hoe [emoji2221][emoji2221][emoji2221]Hawa watu mbona wametrend sana.
Haijanibariki kabisa kusikia mwanaume ninae mheshimu ajiite baharia
Wewe labda hujawahi kupenda kama yule shoga yako aliyekuwa analia kule mkakusanyika jana na juzi kumfuta machozi. Mapenzi huwa yanaua ila jino mpaka uzembee sana litafunwe na bacteria na hao bacteria waingie kwenye mfumo wadamu...Jino linauma vibaya
Usifananishe maumivu ya jino na maumivu ya mapenzi yanayovumilika hayo [emoji23][emoji23]
Una maanisha nini? Kwenye njia kuu kuna foleni? FafanuaNjia kuu tatizo foleni [emoji125]
😂😂 huo muda unaosepa najua utakuwa unasepa kishingo upande.Kama wewe ni mke wa mtu hata unipe mzigo laivu nasepa tu kama vile sijakuona. Kwa wake za watu nina will power Yusufu cha mtoto. Ila kama hujaolewa Ooooh Jizazi [emoji7][emoji7][emoji7]
Siri kubwa ya kushinda dhambi nyingi ni kuondoka katika mazingira husika. Kwa shingo upande ama la, cha muhimu ni kuondoka na kutoanguka dhambini. Kanuni hii rahisi huwa inanisaidia sana [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] huo muda unaosepa najua utakuwa unasepa kishingo upande.
Nitakujulisha nikimaliza. Ni riwayaAsante mpendwa kwa kunijibu. Zako huwa unaziposti wapi? Nina hamu ya kuzisoma (kama hutojali). Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Na itakuwa sijawai kweli.Wewe labda hujawahi kupenda kama yule shoga yako aliyekuwa analia kule mkakusanyika jana na juzi kumfuta machozi. Mapenzi huwa yanaua ila jino mpaka uzembee sana litafunwe na bacteria na hao bacteria waingie kwenye mfumo wadamu...
Blog gani? Wewe gonga likes tu twende sawa mengine yote madogo [emoji16][emoji16]jamani nataka nitoe ushauri kwa mwenye hii blog humu atauona?
KiTrump kilinishinda kwa sababu sijui jinsi ya kutumia alama za kufungua na kufunga semi kama yule braza aliyeshusha nondo za kufa mtu mpaka tukachanganyikiwa. Ila mlitoa sapoti ya kutosha kwa kweli kumsaidia mwenzenu. Mngekuwa mnaonyesha ushirikiano wa aina hiyo hata kwenye mambo mengine ya muhimu zaidi mngefika mbali sana [emoji23]Na itakuwa sijawai kweli.
Hhaha eti tukakusanyika, nilikuona bana unavyodondosha kitrump