moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Jino zaidi mpendwa [emoji2][emoji2][emoji2]
hii thread haijfungwa tu?
kwani hamjatosheka na hizo likes?
Jana nililala mapema kidogo...
Kwema, wkend imeisha vizuri.
Nakutakia wiki njema.
[emoji23][emoji23]
View attachment 1202324
Shukrani, naendelea vizuri.Pole, unaendeleaje mpendwa
😂😂😂 fundi maiko banaFundi maiko jenga nchi..[emoji1]View attachment 1202364
Me mzima Mo sijui weweMzima Depal
Ni kweli lakini naona kila kitu na wakati wake, nikifikia wakati huo nitapimisha maumivu yake na yale ya jino niliyopitiaga.Wanawake nyie hampaswi kuogopa kiasi hicho, majukumu makubwa mnayopitia kujaza ardhi hii ni magumu kuliko vyuma vya kung'oa meno
Hata Mimi lilipoanza nilisema sing'oi diclopar zilikiwa zinanipa jeuri, ila ikafika Siku ambayo hata diclopar haikufanya kazi 😂Kumbe lengo lako ni ili tufanane😂😂
#sing'oi ng'o!!
#sitakiKutoa/kuvuaMiwaniNaMenoWakatiWaKulala