Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

455930973_490556.jpeg
 
KiTrump kilinishinda kwa sababu sijui jinsi ya kutumia alama za kufungua na kufunga semi kama yule braza aliyeshusha nondo za kufa mtu mpaka tukachanganyikiwa. Ila mlitoa sapoti ya kutosha kwa kweli kumsaidia mwenzenu. Mngekuwa mnaonyesha ushirikiano wa aina hiyo hata kwenye mambo mengine ya muhimu zaidi mngefika mbali sana [emoji23]
Hahaha
Mambo mengine yapi? Ya huku uraiani ama.
Huku mbona support zipo tu
 
Back
Top Bottom