Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Jino zaidi mpendwa πππMgonjwa wa jino lete ushuhuda [emoji2211][emoji2211]View attachment 1201964
Binafsi maumivu ya mapenzi huwa nayapoza huwa najiuliza kwani yeye nani niumie kiasi hiki yaani dakika nasahau,jino habari nyingine πππJino linauma vibaya
Usifananishe maumivu ya jino na maumivu ya mapenzi yanayovumilika hayo ππ
Ona macho yake kama bundi. ππ ulishawai kutaniwa hivyo?
We're talking with experienceππBinafsi maumivu ya mapenzi huwa nayapoza huwa najiuliza kwani yeye nani niumie kiasi hiki yaani dakika nasahau,jino habari nyingine πππ